![]() |
| Zubeda Aziz – Mwenyekiti CWT Mkoa wa DSM |
![]() |
| DSM Abdallah Mkaula - Katibu wa CWT |
Chama cha walimu mkoa wa Dar es salaam kimeunga mkono mgomo uliotangazwa hivi karibuni kati ya Chama cha Walimu Taifa (CWT) na Serikali.
Mgomo huo ambao ni wa kimaslahi na tayari Chama hicho kimeipa Serikali notisi ya siku 30 kuanzia tarehe 8 june 2012.


No comments:
Post a Comment