![]() |
| Dr. Steven Ulimboka baada ya kutekwa na kupigwa |
![]() |
| Dr. Steven Ulimboka kabla ya kutekwa |
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Madaktari Tanzania Dk Stephen Ulimboka amesafirishwa nje ya nchi kwaajili ya matibabu zaidi kufuatia hali yake kuzidi kuwa
mbaya.
Dk Ulimboka ambaye awali alilazwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili kitengo cha Wagonjwa wanaohitaji uangalizi maalumu ICU katika Taasisi ya Mifupa MOI amesafirishwa jana kwenda nchi ambayo wahusika wamekataa kuitaja japo inatajwa na magazeti na vyombo vingine vya habari kuwa India na Afrika Kusini.


No comments:
Post a Comment