Wakimibizi waliopo katika makazi ya Katavi wameshindwa kupewa uraia kutokana na kushindwa kushauriana vizuri katika suala zima la utoaji wa usajili ambao ungewapatia uraia wakimbizi hao waliofika nchini katika kipindi cha miaka 40 iliyopita wakitokea Burundi.
Hayo yamesemwa katika maadhimisho ya siku ya wakimbizi duniani yaliyoaaandaliwa na shirika la kimataifa la kuhudumia wakimbizi Duniani UNHCR.
No comments:
Post a Comment