![]() |
| Pape Gaye, Rais wa Intra Health |
Shinyanga imedaiwa kuwa na kasi kubwa ya maambukizi ya ugonjwa wa Ukimwi kwa asilimia 7.4 hali inayosababishwa na kuwepo kwa utamaduni wa kutofanya tohara kwa wanaume ambapo kiwango cha ufanyaji wa tohara ni asilimia 26.5 pekee.

No comments:
Post a Comment