Baadhi ya wananchi wameipokea kwa wasiwasi kauli ya serikali kuwapiga marufuku madereva kuwaruhusu wasafiri kujisaidia maeneo ambayo hayana huduma ya vyoo maarufu kama kuchimbaji dawa wakati wa safari hususan za masafa marefu kutokana na kutokuwepo kwa huduma hiyo hadi sasa.
Maoni hayo yamekuja kufuatia Waziri wa uchukuzi Dakta Harrison Mwakyembe kutangaza kuwa serikali itawafutia leseni ya usafirishaji wamiliki wa mabasi ambayo madereva wake watatenda kosa hilo kuanzia Okteber mwaka huu.
Mwandishi wetu Dennis Mwasalanga ametuandalia Taarifa ifuatayo:
Eneo la Ubungo ambapo safari nyingi za kuelekea mikoani huanzia na Kufikia hapo kwa mabasi mengi ambayo hata hivyo hayajafikia hatua ya kuwa na vyoo vya ndani na kubwa ni je kuna mazingira gani ya kutekelezeka kwa wazo hilo.
VOXPOPS
Yahya Omari-----14:10:57:15-14:11:13:02
HASTON SANIEL-----14:16:08:03-14:16:19:07
Athumani Miraji-----13:17:51:19-13:58:04:16
Mama Francis 14:08:47:16----14:08:53:02
Sula la kusimamisha magari njiani pia limetajwa kuwa chanzo cha ajali na hivyo kuhatarisha usalama wa abiria….na kuhusina na hilo wadau wa usafirishaji abiria wanaona kuwa serikali haijapata ufumbuzi sahihi na kujua nini kinahitajika
Liami Hassani…..14:03:29:22----14-14:03:47:04
Deo john-driver----14:07:36:16----14:07:50:20
Edmund ernest-14:09:38:18----14:09:48:14
Ally Mohamed---13:54:48:02----13:54:54:13
Wengine wameona kuwa uamuzi huo utasaidia kuwa chanzo cha mapato kwa vijiji kujenga vyoo kando ya barabara na kutoa huduma kwa malipo na huyu hapa ni Ndugu LAMWAI
Insert Ndugu Lamwai……14:13:36:20---14:13:53:14
Uamuzi wa waziri wa Uchukuzi hata hivyo bado haujatoa majibu ya uhakika katika kero nyingine za usafiri ukiwemo uwepo wa matairi yasiyokidhi viwango, mwendokasi pamoja na ubiovu wa miundombinu.

No comments:
Post a Comment